HOT!MgameMax –ApkDownload Now

Header Ads

MABADILIKO YA UCHUMI TANGU BITCOIN IVUMBULIWE (2008).

Kuanzia mwaka 2008 Sarafu ya Digitali iitwayo Bitcoin ilipovumbuliwa na Satoshi Nakamoto kumekuwepo mabadiliko makubwa sana kwenye sekta ya fedha duniani!!

Sasa dunia imeingia kwenye mfumo mpya na bora zaidi wa kutuma, kupokea na kutumia fedha ujulikanao kama CryptoCurrency. CryptoCurrency ni Sarafu ya Digitali au ni Sarafu iliyojificha ambayo huwezi kuiona kwa macho (Crypto). Crypto ni kitu kisichoweza kuonekana kirahisi, not tangible, not visible but valuable, top secret, etc! 

Kama ilivyo kwa mobile money, Cryptocurrency ni fedha ya kidigitali ambayo haishikiki lakini unaweza kuitumia kwa matumizi yako ya kila siku. Ngoja nitoe mfano wa mobile money inavyoweza kutumika kama digital money. Umewahi kwenda sehemu ukaona wameandika lipa hapa kwa Tigopesa? Yaani kama una hela kwenye Tigopesa au Mpesa unalipia huduma au bidhaa bila kutoa sarafu au noti (actual coins or paper note)? Unaweza Kupata chakula hotelini na ukalipia huduma hiyo bila kutoa noti mfukoni mwako!! Nk. Umewahi kuona kwenye super markets watu wananunua bidhaa au huduma kwa kutumia master au visa cards bila kutoa fedha mfukoni? Hivyo ndivyo Cryptocurrency itakavyofanya kazi siku zinazokuja kuanzia sasa!! Swali, kama Mobile Money ipo, Cryptocurreny ya nini tena? Jibu ni kwamba, Cryptocurrency ina faida nyingi naomba nitaje baadhi tu:

1. Kutuma na kupokea fedha ni bure kabisa duniani kote!!!

2. Kutuma na kupokea pesa ni kwa haraka kama unavyotuma na kupokea ujumbe wa email kwenye internet au WhatsApp na Twitter!

3. Cryptocurrency inatumika dunia nzima wakati mobile money nyingi zinatumika eneo husika tu ambapo mtandao wa simu upo. Mf MPESA

4. Mfumo wa Cryptocurrency ni madhubuti sana kwa hiyo ni ngumu sana kuibiwa (money laundering).

5. Akaunti yako ipo mikononi mwako, huna haja ya kwenda bank kuchukua fedha!!

Je, katika mfumo huu mpya wa Sarafu duniani kuna fursa yoyote ndani yake? Jibu lake ni ndiyo

Kuna kampuni nyingi sana zipo kwenye sekta hii ya Crypto Currency zikifanya yafuatayo:

1. Exchanging digital currency with non digital currency!! Hii ni fursa kubwa sana. Changamkia

2. Trading Crypto Currency to Crypto Currency

3. Mining Crypto Currency using special software.

Kinachofanyika hapo kampuni nyingi zimewekeza kwenye technology ya kuchimbua Sarafu za kidigitali kama Bitcoins, Ethereum, nk:
Ukiwekeza kwenye kampuni hizo kadri Sarafu zinavyopatikana utapata Sarafu zako kulingana na mtaji wako uliowapatia kwenye kampuni!! 

4. Become Agents for Crypto Currency to non Crypto Currency!! Hii ni fursa ya uwakala wa Sarafu ya Digitali kwa Sarafu za kawaida mfano Dollars, pounds, euro nk. Faida yake ni kubwa!!

LEON ©2017 (0743854455)

FIVE REASONS WHY YOU SHOULD OWN BITCOIN

1. IT IS THE MOST POWERFUL CURRENCY IN THE WORLD AS WE SPEAK.

The Dollar is seriously chasing against Bitcoin. Everyday, Bitcoin rises over the dollar and the dollar falls against it

2. THERE IS JUST 21 MILLION OF IT AND 15.5 MILLION HAS BEEN MINED.

This makes the price to always keep going higher. From around $4300 Per BTC,  the price is expected to get $500,000 per BTC from now till the next 3 years as predicted by libertarian presidential candidate and many others...

3. IT IS NOW ACCEPTED TO CARRY  MAJOR TRANSACTIONS

Major supermarkets like Shoprite, Galleria, Flight agencies,  Telecommunication companies, Insurance companies, Universities,  even hospitals will start accepting it soon in order to stockpile it and wait for the price to rise massively in the nearest future.

4. THE FEDERAL GOVERNMENT OF MOST COUNTRIES ARE SERIOUSLY INTERESTED IN BTC.

Most Financial Institutions are losing a lot of banking transactions because people now do peer to peer BTC transfer. This has made the government to now think of doing businesses even by using BTC. The Federal Government Of Nigeria is an example

5. MANY PEOPLE ARE YET TO GET INVOLVED USING BTC.

Out of about 7 Billion people worldwide,  BTC users are about 10Million globally. This means this is best time to get involved and start owning BTC.

        BY LEON TRADER (0743854455, WhatsApp)

5 comments:

  1. I have read all the comments and suggestions posted by the visitors for this article are very fine,We will wait for your next article so only.Thanks! 24option review

    ReplyDelete
  2. What is the difference between central bank authorized currency and Bitcoin? The bearer of central bank authorized currency can merely tender it for exchange of goods and services. The holder of Bitcoins cannot tender it because it's a virtual currency not authorized by a central bank.https://gpucoin.net/

    ReplyDelete
  3. Receiving bitcoins is on occasion free, however a price can be protected for sending them, it relies upon on the web platform you use.Bitcoin ATMs near me

    ReplyDelete