HOT!MgameMax –ApkDownload Now

Header Ads

JIFUNZE KWANZA, ELEWA KISHA AMUA

VITU VYA KUZINGATIA/KUFUATA ILI UWEZE KUFANYA CRYPTOCURRENCY TRADING.CRYPTO TRADING

Kama  nilivosema katka introduction zilizopita kuwa tunadeal na kununua na kuuza coins mbali mbali (altcoins) kama Trust Wallet Tokenripple, dogecoinvergecoin n.k So  tunacho kifanya hapa ni kununua coin ikiwa bei ya chini na kuja kuuza ikipanda so that we can make profit. Mfano unaweza kuwa na mtaji wa laki 3 ukanunua coin fulani lets say Trustwallet Token na baada ya kuuza ukawa na laki 4 au zaidi.

HATUA ZA KUFATA ILI UWEZE KUFANYA TRADING

Kwanza kabisa uwe na uelewa juu ya cryptocurency coins kwa ujumla..mfano, zinafanyaje kazi na pia unawezaje kuamisha nk.

Kufungua wallet ambayo ni exchanger wallet like bittrex.com Baada ya kuwa na uelewa wa cryptocurency kwa ujumla kama unataka kufanya trading itakubid ufungue wallet ambayo ni exchanger.

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUWEKEZA KWENYE COIN YOYOTE.
Kwa jina naitwa LEON, mimi ni Ceo & Founder wa Leon Technologies (https://facebook.com/leontechtz), smart contracts developer, blockchain enthusiast, day trader, investor and mentor too in cryptocurrencies (Bitcoin). 

Huwa natoa crypto trainings on how to do a succesful trading with positive results.

Kwa moyo wa dhati na wa kusaidia, nimewawekea hiki kipande kinachohusu vitu vya kuzingatia kabla  ya kuinvest pesa yako kwenye coin yoyote utakayo. unaweza yapitia hayo melezo niliyotoa kwenye list ya mambo ambayo huwa nafundisha kwenye trainings zangu. KARIBU SANA KUSOMA MAKALA HII BY LEON ( 0743854455, WhatsApp):

NB: HIKI NI KIPENGELE CHA NNE KATI YA VIPENGELE SITA VYA KUZINGATIA KABLA NA BAADA YA KUWEKEZA PESA YAKO KWENYE COIN/ SARAFU FLANI FOR LONG OR SHORT TERM INVESTMENT 

4. JE, KWANINI UMEAMUA KUNUNUA COIN HIYO? NI KITU GANI KIMEKUVUTA MPAKA UINUNUE? WHY IT IS YOUR CHOICE? Kwanini umeipenda coin hiyo? what is the reason behind for you being optimistic to that particular coin?

FUATA HAYA MAMBO MANNE:

A. je coin husika inahusika na nini katika soko la dunia? ( matangazo?, malipo ya kisasa ya kimtandao?, afya?, usafiri?, ishu za madini?) nk. na jee katika hayo matumizi ya coin husika jee ni  very influencial kidunia kwa jamii nyingi?

B. je hiyo coin huska wameitengeza kwa kutumia teknolojia gani? hakikisha teknolojia yo iwe very easy for you to use, isiwe teknolojia mbayo itaugharimu kuitafutia PhD ndo iutumie.

C. Jee wana solid team? yaani team ya waliotengeneza coin husika ni very strong in terms oof knowlegde and skills? fanya research ujue historia ya hao developers jee wana experience kubwa about blockchain technology? na jee wana uelewa mpana juu ya crypto? haya yote ndo huleta jibu la kwamba kwa kiwango flani wanaweza tekeleza yale yote yanayokuwa kwa whitepaper ya coin coin.

NB: white paper ni kijitabu in pdf form ambacho huelezea muelekeo wa  coin husika au projects zao about a certain coin. 

D. ya mwisho na yenye nguvu kubwa ili tujue coin itafanya/inafanya vizuri kwenye soko ni ile DEMAND  for the coin. Jee hiyo coin indemand kubwa kwa watu? kumbuka kwenye crypto watu ndo pesa. hatakama leo ungekuwa na uwezo wa kutengeneza coin, ila kama huna watu wakuipa shavu (demand) haiwezi fika popote!!! hivyo basi nunua coin kulingana na demand factor na sio supply.

Mwisho, usinunue coin ambayo haina vigezo walau vitatu kati ya vinne tajwa.

NOTE: In crypto dont fear of missing out the next big opportunity, dont FOMO, nikiimanisha kuwa fanya uchunguzi wako kabla ya kuweka pesa zako.

KWA MAKALA NYINGINE JUU YA MAFUNZO YA CRYPTO TRADING, KARIBU KWENYE TRAININGS ZANGU.

WHAT IS AN EXCHANGER WALLET??
Tuanzie hapa, What is an exchanger wallet??

°Hizi ni wallet ambazo zinasuport coin zaid ya moja ndani yake na hivyo kukuwezesha wewe kutrade wakat wowote, mfano binance.com, bittrex, poloniex nk.

°Wallet hizi ambazo ni exchanger utaweza kutumia kwa kuhifadhi coin zako za aina yeyote ile bila kikwazo na pia utaweza kutrade kwa coin zilizoko ndani ya wallet hyo mfano BINANCE kuna coins/tokens zaid ya 100 ndani yake. 

°Wallet ambazo sio exchanger ni zile wallet ambazo hutumika tu kuifadhi Bitcoin tu na sio trading pia huwa hazisuport coin zaid ya Bitcoin pia na etherium au USDT, BCH etc na hazifany exchange, mfano wake ni localbitcoins.com, remitano.com, paxfull, blockchain wallet nk.

HOW TO SECURE YOUR ACOUNT?

Baada ya kuwa umeshafungua wallet yako hakikisha kuwa umeifadhi details zako yaani (passwords, usernames, authentication keys za 2FA etc) sehemu salama au unazikumbuka vzuri. Na pia weka security kwa acount yako hapa naongelea TWO FACTOR AUTHENTICATION ( GOOGLE AUTHENTICATOR ipo playstore) baada ya hapo utachukua wallet adress yako na kununua Bitcoin au Ether ili u~deposite kwa wallet yako kama mtaji wako wa kuanzia Trading.

UKIMALIZA KU-DEPOSIT UFANYE NINI??

Ukishamaliza kudeposit BTC au ETHER  unaweza kuanza kuzifanyia trading zenyewe maana ni base pairs kwenye exchange nyingi au unaweza kuzitumia kufanyia trading with another coins mfano TrustWallet Token ( BTC/TWT au ETH/TWT nk).

Fuatilia video za mafunzo ya kufanya trading kupitia channel yangu ya YouTube hii chini, 

https://www.youtube.com/c/LeonTechnology
HAKIKISHA UNA-SUBSRIBE LEO ILI UPATE VIDEO ZA MAFUNZO KILA ZIKIWEKWA KWENYE HII CHANNEL.

By LEON M.COSTANTINE.

JIFUNZE NAMNA YA KUFUNGUA MYETHERWALLET KWA AJILI YA KUTUNZIA TOKENS ZAKO ZENYE MFUMO WA ERC20.

Cryptocurrency trading pays, just learn and make money via bitcoin and ALTCOINS as well.
REMEMBER TO SUBSCRIBE TO MY CHANNEL FOR MORE CRYPTO TRADING TUTORIAL VIDEOS. CHECK ME WHATSAPP VIA 0743854455.

No comments