HOT!MgameMax –ApkDownload Now

Header Ads

Mafunzo kuhusu Bitcoin na namna ya kufanya Trading


Habari zenu traders, kuanzia leo nitapokea wanafunzi wapya wote wanaohitaji kujua namna ya kufanya trading kwa ukamilifu ikiwa ni pamoja na wale wageni kabisa pamoja na wenyeji.

Tutacover vitu vifuatavyo:👇

1. General conceptual introduction to Blockchain Technology and cryptocurrencies(Cryptography) 

2. Namna ya kufungua exchange account pamoja na kuset two factor authentication(2FA).

3. Namna ya kutrade~(Buying/Selling Coins) kwenye exchanges(masoko) mfano Binance, KuCoin, MXC, Hotbit~(Hasa mnaoshindwa kununua baadhi ya coins mfano SHIB, DCN kwenye Hotbit exchange etc).

4. Namna ya kutrade kwenye spots(Binance), Global markets(Hotbit), Futures(Binance) pamoja na kutrade ETFs~{Exchange Traded Funds etc}.

5. Namna sahihi ya kutumia Limits, Markets and Stop limits~(Kuset stop loss both kwenye futures pamoja na Spots) kwenye masoko yanayosupport hii function.

6. Namna ya kutambua coins nzuri kwa ajili ya kuhold for long and short term~(Vigezo vyake).

7. Namna ya kutrade kwa kutumia PancakeSwap, Uniswap pamoja na Decentralised Exchange nyingine za muhimu.

8. Namna ya kugundua na kutrade News~{Fundamental analysis} pamoja na Kutumia Technical analysis za uhakika.

✅ Karibu inbox mapema kwakuwa content ni nyingi sana za kufundisha, hivyo darasa litapaswa kuwa na wanafunzi wachache. Alika ndugu, jamaa na marafiki zako ambao wangehitaji kupata elimu hii. Na kwa wote ambao mlikuwa mkinitafuta inbox mkihitaji darasa hili basi leo ndo muda wenu kujumuika kwani litakuwa darasa la kipekee sana kwa mwezi huu wa tatu kuelekea wa nne. Usikose!! 👏🏾

✅ NB: Elimu hii ya Cryptocurrencies au Bitcoin huwa inafundishwa kwa gharama kubwa sana (Tuliosomea kwa watu wa mataifa ya nje tutakuwa tunaelewa hili jambo) hivyo basi, kuna gharama kidogo za kuwezesha darasa hili.

Nitafute kwa namba hii 0743854455 (SMS/CALL/WHATSAPP) ili upewe mwongozo mzima wa darasa hili. 

✅ Kwa taarifa zaidi tembelea website Hii kwa mwongozo zaidi kuhusu darasa hili:👇

www.leontechtz.com (By LEON ©2021). 

1 comment: