HOT!MgameMax –ApkDownload Now

Header Ads

Binance Futures training #binancefutures


*Habari ndugu wapendwa watu wa Cryptocurrency.*

Kama nilivyotangaza kuwa wenye uhitaji wa darasa la kutrade  Futures kwenye Binance exchange wanipe majibu, ni dhahiri kuwa kweli watu wana uhitaji wa darasa hilo kutokana na namna walivyonitafuta inbox. Hivyo basi, nawakumbusha kuwa tutakuwa na utaratibu huu:👇

1. *Utapaswa kunifuata inbox ili nikupe link ya kujiunga kwenye kundi ambamo utapata mwongozo wa darasa hilo, (Tuna avoid spamming group za watu).*

2. *Utapewa nafasi ya kumu/kuwa~aalika Ndugu, jamaa na marafiki zako nao wajiunge (kutakuwepo na bonus/commission/punguzo kwa gharama yako ya kujifunzia au vyote kwa pamoja kulingana na watu utakaowaleta).*

3. *Kuhusu ada ya kupata darasa hilo itatangazwa kwenye kundi hilo husika pamoja na Rewards mbalimbali zitakazotolewa kwa wale watakaoleta wanafunzi kujifunza.*

4. *Kutakuwepo na Ofa ya darasa la kutrade spots kwa wale ambao watajifunza kutrade futures kiasi kwamba kama ndo utakuwa ni mgeni kabisa kwenye cryptocurrencies au Bitcoin, utapata mwanga moja kwa moja juu ya sehemu zote mbili (Trading in spots and Futures)

5. *Baada ya darasa utapewa wiki 1 ya free mentorship, usipange kukosa.*

Unaweza kutembelea website yangu hii *https://www.leontechtz.com/2021/02/binance-futures-training.html* kujifunza juu ya sarafu za kidigitali yaani cryptocurrencies au Bitcoin na unaweza kuangalia baadhi ya tutorial video za kufanya trading nk, kwenye Youtube channel yetu hii *https://youtube.com/c/leontechnology*

*BY LEON © 2021 💥*

No comments