HOT!MgameMax –ApkDownload Now

Header Ads

PATA MAFUNZO YA BITCOIN

 

JIFUNZE HII BIASHARA ZAIDI

Katika kuhakikisha kuwa kila mwenye uhitaji wa kuijua hii biashara ya CRYPTOCURRENCY TRADING mmoja wa wakongwe katika biashara hii (LEON, 0743854455) ameamua kuwashirikisha ndugu, jamaa na marafiki wenye utayari wa kujifunza ili waweze kupata elimu hii.

Njia zitumikazo kufundishia ni; live trainings, WhatsApp groups training, YouTube tutorial videos trainings pamoja na Website (crypto training tips). Kwa upande mwingine, masomo ya jinsi ya kufanya analysis kwenye masoko ya coins huwa yanatolewa live pia ikiwa ni pamoja na kufundishwa trading ili ukuze kipato chako in terms of BITCOINS/DOLLARS.

NB: Masomo hayo hutolewa kwa njia hizo hizo tajwa hapo juu.

Kila mtu ni maamuzi yake kujua jinsi ya kutrade mwenyewe pamoja na kumanage akaunti zake dhidi ya loss kwa kuweka stop loss kwa usahihi pamoja na kutumia trading techniques vizuri. 

Hivyo basi, kwa wale mnaopenda kujifunza jinsi ya kufanya trading wenyewe mnakaribishwa kujifunza kwa gharama nafuu sawa na bure kabisa ili muweze kukuza mtaji wenu kiujumla. Wale ambao mko serious nitafute kwa njia ya WhatsApp, namba ni 0743854455 ili uweze kupata elimu hiyo kwa undani kabisa.

JIUNGE NA MAKUNDI YANGU HAPA CHINI:

KUTEMBELEA YOUTUBE FOR CRYPTO TRADING TUTORIALS BONYEZA HAPA

KUJIUNGA NA KUNDI LA WHATSAPP  BONYEZA HAPA

KUANGALIA TREND YA COINS/TOKENS KWENYE SOKO BONYEZA   HAPA

WASILIANA NA MIMI KWA NJIA YA WHATSAPP NAMBA 0743854455 (Leon-Tech).

NOTE: Knowledge is power"cryptocurrency trading pays."

1 comment:

  1. WhatsApp link haifanyi kazi, naomba basi uweke ambayo iko active

    ReplyDelete